Monaco kumtangaza Henry kama mrithi wa Jardim

Sambaza…. Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona Thierry Henry ametajwa kuwa miongoni mwa makocha wanaotajwa kurithi kiti cha kocha Leonardo Jardim pindi atakapofukuzwa katika klabu ya Monaco. Henry mwenye umri wa miaka 41 ambaye alikuwa katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Ubeligiji kama kocha Msaidizi kwenye michuano ya kombe la Dunia … Continue reading Monaco kumtangaza Henry kama mrithi wa Jardim