Dilunga ni ‘tishio’ pekee kwa Wawa na Jjuuko, atawaadhibu?

Sambaza…. SAID Dilunga amecheza michezo tisa ya ligi kuu Tanzania Bara msimu huu na kufanikiwa kufunga magoli manne. Kiungo huyo mshambulizi wa Ruvu Shooting anataraji kuongoza safu ya mashambulizi ya Shooting siku ya Jumapili hii wakati timu yake itakapowakabili mabingwa watetezi Simba SC katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. VS WAWA NA JJUUKO….. Dilunga … Continue reading Dilunga ni ‘tishio’ pekee kwa Wawa na Jjuuko, atawaadhibu?