Owino yupo fiti kuwavaa Yanga.

Sambaza…. KUELEKEA mchezo dhidi ya Yanga, Lipuli Fc leo jioni imefanya mazoezi ktk uwanja wa Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar Es Salaam. Kwa mujibu wa Msemaji wa Klabu hiyo, Clement Sanga, amesema Mlinzi Joseph Owino ameungana na wachezaji wengine katika mazoezi baada ya kukosekana kwenye michezo kadhaa ya hivi karibu kufuatia matatizo ya … Continue reading Owino yupo fiti kuwavaa Yanga.