Ligi Kuu

Owino yupo fiti kuwavaa Yanga.

Sambaza kwa marafiki....

KUELEKEA mchezo dhidi ya Yanga, Lipuli Fc leo jioni imefanya mazoezi ktk uwanja wa Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar Es Salaam.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Klabu hiyo, Clement Sanga, amesema Mlinzi Joseph Owino ameungana na wachezaji wengine katika mazoezi baada ya kukosekana kwenye michezo kadhaa ya hivi karibu kufuatia matatizo ya kifamilia.

Mchezo kati ya Yanga na Lipuli umepangwa kupigwa tarehe 30 jumanne uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz