Wapo wanaoamini Azam FC ni suluhisho la maendeleo ya soka letu … lakini mimi sio mmoja wao

Sambaza…. Nipo ndani ya uwanja mpya wa Taifa nikifatilia Mpambano wa Fainali wa mashindano yaliyopewa jina la URAFIKI CUP kati ya AZAM FC vs SIMBA SC jukwaa lile lile ambalo anapenda kukaa Pacha wangu wa Nje Bwana Frank Robert Rweyemamu mara inarushwa chupa ya maji kuelekea uwanjani aliposimama mshika kibendera kutoka jukwaa la juu yetu … Continue reading Wapo wanaoamini Azam FC ni suluhisho la maendeleo ya soka letu … lakini mimi sio mmoja wao