David Molinga "Falcao"
Ligi Kuu

Kuna ‘Hat-trick’ nyingine hapa, ila siyo ya Molinga

Sambaza....

Ligi Kuu Tanzania bara inaendelea  tena katika viwanja nane tofauti. Mtandao wetu wa kandanda umekuwekea ratiba ya mechi zote hizo na utabiri wetu.

Tazama na utuchangie katika maoni yenu. Tumekuwekea pia nani atafunga leo katika wale galacha watano wa magoli mwezi huu.

  

Katika wafungaji bora, tunatabiri kuwa  Sabato, Mhilu, Nchimbi, Nonga, Hillary na Chirwa watafunga magoli . pia kuna uwezekano wa hatrick kutoka katika moja ya mechi.Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.