Wakati wengi wakiamini World Cup ya 1994 si zama zake tena ,Mzee huyu alikuwepo Marekani na alifunga tena katika mchezo ambao Cameroon walifungwa mabao 6 - 1.
Msemaji huyo pia ameonyesha ni kwa kiasi gani wamedhamiria kuujaza uwanja huku akitangaza neema kwa mashabiki wa Yanga wataokata tiketi kwenda uwanjani.
Kwa sasa, jana na kesho Simba Sponga ndio babalao na ndio chuo kikuu cha soka bongo. Imefanikiwa kutinga robo fainali tena ya kombe la shirikisho. Balaa lake ni lipi? Soma hii.