TUANDIKIE TUKUWEKEE KWENYE TOVUTI
Wewe ni Shabiki wa Kandanda? Unaandika makala? Iwe kwaajili ya Timu yako ya Nje au Ndani! Au maoni yako tu.
Tutumie habari@kandanda.co.tz tutaihariri na kuiweka katika tovuti ya kandanda.co.tz
#KandandaChat
Haya ni matokeo ya mechi zote 28 za klabu ya Simba Sc msimu huu hadi ligi iliposimama. Mabingwa hao watetezi katika mechi zote hizo 28 wameshinda mechi 23, ikipoteza mechi tatu na kutoka sare mbili tu.
Hiki ni kikosi kilichotisha sana hata ukikiaangalia tu, tutajie majina yao katika picha hii na tuambie kitu gani kiliwafanya waonekane 'nyau' katika mechi za klabu Bingwa msimu huo
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz