#KandandaChat

MAKALA

  • Ryan Shawcross ni moja ya wachezaji ambao siyo rahisi kutoka kwenye kumbukumbu za Aron Ramsey. Ni siku ambayo haitokuwa rahisi kufutika kwenye kumbukumbu za Ramsey,na kuna uwezekano mkubwa sana kwenye kitabu chake cha kumbukumbu ( Diary ) ameiandika tarehe 27 mwezi 2 mwaka 2010 kwa wino uliokolezwa.

    Martin Kiyumbi

uhamisho

BAADA ya kuwa kwenye mvutano mkali na wa muda mrefu na klabu yake ya West Brom hatimaye Saido Berahino ameihama klabu hiyo na kutua Stoke City kwa ada ya £12m.

 

WESTHAM imekiongezea nguvu kikosi chake katika dirisha hili la usajili hii ni baada ya jana Ijumaa usiku kumsajili beki na nahodha wa Southampton Mreno Jose Fonte kwa ada ya £8m.

DUKA LA VIFAA VYA KANDANDA

Vifaa Bora Kwa Bei Nafuu

nunua sasa