AZIZ KI vs KIBU DENIS
Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC. Ikumbukwe katika mchezo uliopita klabu ya Simba ilitandikwa bao 5-1, na sasa ikiwa kama mwenyeji mambo yatakuwaje? Mtandao wako wa kandanda.co.tz unawapa nafasi mashabiki wake watatu ambao watatabiri kikosi au matokeo wakati wa mchecho huu,...