Msemaji Simba: Furaha ya Wanasimba Haijakamilika ni Mpaka Tufike Nusu Fainali
Mchezo huo utaangukia katika sikukuu ya Eid hivyo Wanasimba wamealikwa Benjamin Mkapa ili wakale pilau la sikuu na kuona jinsi Simba wanavyotimiza jambo lao mbele ya timu kubwa na bora Afrika.