Sambaza....

Mechi ya pili ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika kati ya Mamelod Sundowns na Yanga ilisha kwa Mikwaju ya Penati, na Yanga kuishia katika hatua hii.

Katika kikosi kilichoaanza, unampa alama ngapi kwa kila mchezaji 10/10.

1.Djigui Diarra
2 Dickson Job
3 Joyce Lomalisa
4 Bakar Mwamnyeto
5 Bacca
6 Jonas Mkude
7 Max Nzengeli
8 Mudathir Yahaya
9 Joseph Guede
10 Aziz Ki

  1. Kennedy Musonda

Sambaza....