Kutoka kwenye Sanduku langu la Maoni mpira ule haukuvuka mstari wa Goli na ndio maana leo hii kumetokea pande mbili zinazokinzana kuhusu kama lile lilikuwa goli halali ama la!
Klabu ya Yanga, leo hii wanashuka Dimbani kutafuta tiketi ya Makundi Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh kutoka Sudani pale Chamazi. Ikumbukwe, Yanga wanamtaji wa Magoli mawili kwa sifuri. Ubunifu wa klabu hii katika kuzibrand mechi zake ni kivutio kikubwa sana kwa washabiki wake. Washabiki wa Wawili wa Kwanza...