Yanga sc kwenda Shelisheli, Chirwa, Kamusoko kubaki Dar
KIKOSI cha mabingwa wa soka Tanzania Yanga Sc, kinatarajia kusafiri kesho asubuhi kueleka Shelisheli tayari wa mchezo wa marejeano wa michuano ya vilabu bingwa Afrika dhidi ya wenyeji wao St Louis Fc, mchezo ubaotaji kupigwa jumatano ijayo kunako dimba la Stade Liete. Muda mfupi uliopita Ofisa habari wa Yanga, Dismas...