Serie A

Serie A

Mancini alaani vitendo vya kibaguzi kwenye soka.

Kocha wa timu ya Taifa ya Italy Roberto Mancini amesema kitendo cha ubaguzi alichofanyiwa mshambuliaji kinda wa Juventus Moise Kean sio cha kuvumiliwa hata kidogo. Mancini amesema adhabu kali na nzito inatakiwa kutolewa kwa mashabiki wa Cagliari ili kuzia tukio kama hilo ambalo limetokea kwa mara ya tatu ndani ya...
Serie A

Mchezo wasimama dakika tatu, Kean akiimbiwa nyimbo za kibaguzi.

Mchezaji kinda wa Juventus Moise Kean jana amekutana na wakati mgumu baada ya mashabiki kumtolea maneno ya kibaguzi wakati timu yake ikiwa uwanjani ikipambana na Cagriali kwenye muendelezo wa ligi kuu nchini Italia. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 19 alionekana akiushika mkono wake baada ya kufunga bao la pili,...
Serie A

Hali ya David Ospina imetengemaa, baada ya kuanguka uwanjani.

Kocha wa Napoli Carlo Ancelotti amesema hali ya mlinda mlango wa timu hiyo David Ospina aliyepoteza fahamu jana kwenye mchezo wa ligi ya Italia (Seria A) kati yao na Udinese inaendelea vizuri na hakuna jambo kubwa sana la kiafya. Ancelotti amesema wanashukuru baada ya vipimo imeonesha kuwa Ospina hana tatizo...
EPLLa LigaMabingwa UlayaSerie A

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
1 2
Page 1 of 2