La Liga

La Liga

Griezmann kuondoka Atletico Madrid.

Klabu ya soka ya Atletico Madrid kupitia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii imethibitisha kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Antoine Griezmann hatokuwa na timu hiyo kwa msimu ujao licha ya kwamba mkataba wake unaisha mwaka 2023. Atletico Madrid imesema kwamba mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 tayari...
La Liga

Iniesta atuma salamu za kheri kwa swahiba wake.

Kiungo wa timu ya Vissel Kobe ya Japan Andres Iniesta amemshukuru na kumtakia kheri mchezaji Xavier Hernández Creus ‘Xavi’ ambaye ametangaza kustaafu kucheza soka la kulipwa mwishoni mwa msimu huu. Iniesta ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa anajivunia kukua na kucheza pamoja na kiungo Xavi katika timu ya Taifa...
La Liga

Uhispania wafanya mabadiliko madogo kwenye michuano yao.

Shirikisho la kandanda nchini Uhispania (RFEF) jana Jumatatu limefanya mabadiliko madogo ya kombe la Mfalme (Copa del Rey) na lile la Hisani (Spanish Super Cup) ambalo huwakutanisha mabingwa wa Laliga na Copa del Rey kuanzia msimu wa mwaka 2019-2020. Kombe la Copa del Rey sasa litachezwa kwa mfumo wa mchezo...
La Liga

Barcelona ndio mabingwa wa LaLiga.

Baada ya kushuhudia klabu ya soka ya Juventus ikitawazwa bingwa wa ligi kuu ya Italia kwa mara ya nane mfululizo mwishoni mwa Juma lililopita, inawezakana Barcelona nao wakatangazwa mabingwa wa ligi kuu Uhispania usiku huu. Barcelona ambao usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alaves...
1 2 3 4
Page 1 of 4