Kama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa timu ya mchezo gani basi jibu langu la moja kwa moja ingekuwa Karata. Hawa ni magwiji wa mchezo ule maaarufu wa karata ' last card' wa kugemua mwisho huku watu wakificha majokers na vimbili'. Misimu mitatu ya mwishoni mambo yao hayaendi vizuri...
Zikiwa zimesalia dakika tano matokeo yakiwa ni 1-1 huku West Ham wakihitaji point tatu muhimu, wana London wengi hawakumuelewa Di Canio akiwepo kocha wake Harry Redknapp