Mlinzi wa kati Che Fonde Malone akitambulishwa Simba Sc

Che Fondoh Malone

Sambaza....

Name
Che Fondoh Malone
Utaifa
cmrCameroon
Nafasi
Mlinzi
Urefu
1.8
Sasa
Simba SC
Ligi
Ngao ya Jamii, TPL
Misimu
2023-2024

Matokeo

Ngao ya Jamii

MsimuTimu
Jumla-

TPL

MsimuTimu
2023-2024Simba SC0000010
Jumla-0000010

Malone ni mchezaji bora wa Ligi ya Cameroon akitoka kutwaa tuzo hiyo Ijumaa ya wiki iliyopita anaejulikana kwa jina la utani “Ukuta we Jeriko” anakwenda kuungana na Kenedy Juma, Nasoro Kapama na Inonga Baka katika eneo la mlinzi wa kati.


Sambaza....