Ligi KuuAzam yathibitisha kumpiga bei Yahya Zayd nchini Misri.Issack John5 years agoYahya anakuwa mchezaji wa pili ndani ya muda mfupi kutoka Azam kujiunga na timu za nchini Misri baada ya kiungo Himid Mao kujiunga na Petrojet mwaka jana,