Wachezaji wetu wanajua jinsi ya kucheza hii michezo, yaani mchezo ukiwa unaanza hawa kina Kapombe, Tshabalala wanakua ni mara kumi na moja zaidi ya uwezo wao,"
Tumepata baraka zote kutoka kwa wadhamini wetu wakuu M-bet ambao ndio wana haki yakukaa mbele kifuani. Sisi sio madalali hatuwezi kuuza eneo mara mbili.
Michezo yote sita (miwili ya ndani) ni muhimu kwa Simba katika kuamua mbio zao za ubingwa dhidi ya Yanga lakini pia michezo mitatu ya Kundi D itaamua kama watafuzu tena na kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.