Ligi KuuKMC kushuka uwanjani kesho bila kiungo wake tegemeo.Mwandishi Wetu1 year agoAhmad ameongeza kuwa katika mchezo wa kesho kama Timu inahitaji matokeo mazuri kutokana na kwamba KMC FC hapo kwenye nafasi nzuri na hivyo kuhitaji zaidi ushindi