StoriSimba Day Unyama Mwingi, Kucheza na Mabingwa wa ZambiaMwandishi Wetu10 months agoAidha pia msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally ametaja tarehe rasmi watakayozindua wiki ya Simba pamoja na kutaja timu watakayocheza nayo kutoka Zambia.