StoriSaidoo Ntibazonkiza Kiungo Bora wa Msimu!?Thomas Mselemu1 year agoNi kweli katika Ligi kuna viungo wengi wengine wazuri na bora kama kina Aziz Ki, Clatous Chama, James Akamiko, Feisal Salum na Sixtus Sabilo lakino wote hao hawamfikii Saidoo