Thomas Mselemu

Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
UEFA

Dondoo muhimu kuelekea mechi ya Man U dhidi ya Sevilla.

Kuelekea mechi ya marudiano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati Mashetani Wekundu Manchester united dhidi ya Sevilla ya Hispania nini tutegemee? Baada ya kupata matokea mazuri dhidi ya mahasimu wao Liverpool weekend hii Manchester United ambao wanapewa nafasi kubwa kusonga hatua ya robo fainali lakini bado wanakibarua kigumu mbele...
shirikisho afrika

Walipo’chemka’ Simba ni hapa!

Licha ya kuwa na CV nzuri na uzoefu katika soka nini kilikuwa kikwazo katika timu ya Simba hususani katika mechi yao dhidi ya Almasry ya Misri? Kwa mawazo na mtazamo wangu ilikuwa game ya wazi na ya ushindi kwa Simba ikiwa ipo nyumbani na kikosi cha wachezaji 12 (na mashabiki)....
vpl

Mkude ananifanya na mimi nitamani kucheza namba sita!

Jonas Gerald Mkude mtoto wa Kinondoni rafiki Mkubwa wa ndugu yangu Abdul Mkeyenge. Ameufanya mpira uonekane kitu kirahisi ambacho kila mtu atamani kuucheza. Ndio Jonas Gerald Mkude kiungo mkabaji wa SimbaSc ambae kwa sasa yupo kwenye ubora wake. Kiungo mkabaji wa kisasa tunaweza kumuita, anakaba, anatuliza timu, anaanzisha mashambulizi, mtaalamu...
URUSI 2018

Ni Diamond tena Russia

Mwimba muziki nguli  kutoka Marekani Jason Joel Desrouleaux, maarufu kama Jason Derulo amechaguliwa kutunga wimbo maalum wa Kombe la Dunia litakalofanyika Russia mwaka huu. Jason Derulo  maarufu kwa uimbaji, uandishi wa nyimbo na kucheza kutoka Marekani, anafuata nyayo za Shakira, Anastaca na Pitbul waliwahi kuimba nyimbo hizo kwenye makombe ya...
URUSI 2018

Ujio wa Infantino waja na neema kwa mashabiki

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limeongeza tiketi kwa Tanzania kwaajili ya fainali za kombe la Dunia zitakazochezwa Russia mwaka huu, kwa mujibu wa taarifa kutoka shirikisho la soka Tanzania, TFF. Kwa shabiki yeyote anayetaka kwenda kushuhudia fainali hizo za Kombe la Dunia awasiliane na idara ya mashindano ya...
ligi kuuvpl

Tshitshimbi Mchezaji Wa Mechi Kubwa?

  Pappy Kabamba Tshitshimbi "Rasta" kiungo maridhawa wa chini kipenzi cha wanajangwani. Utawaambia nini mashabiki wa Yanga kuhusu Pappy wakuelewe? Moja ya viungo bora mpaka sasa kwenye vodacom premier league, huku tukielekea kuhitimisha leo raundi ya  raundi ya kwanza ya VPL. Ameonyesha uwezo mkubwa wa kukaba, kupiga pasi, kuendesha timu...
vpl

Kocha wa Simba SC huyu hapa!

Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kuwajulisha Wanachama na washabiki wake kwamba imempata kocha wake mkuu mpya,Mfaransa Pierre Lechantre, kwa mujibu wa taarifa kutoka msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara. Kocha huyo mzoefu ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha msaidizi wa sasa Masoud Djuma ambae alikuwa akikaimu...
1 2 3 4
Page 1 of 4