Wakati Julio anakabidhiwa timu zilikua zimesalia mechi nne na moja ya lengo alilopewa na kuinusuru timu isishuke daraja na angalau ikaangulie kwenye playoffs wakajiulize.
Kocha huyo atakaesimama katika benchi la KMC kwa mara ya pili akichukua mikoba ya Hitimana Thiery amekiri ugumu wa Ligi hiyo lakino amesema watapambana mpaka mwisho na kuibakisha timu Ligi Kuu.
Katika hatua nyingine timu hiyo ya Manispaa imeamu kumkabidhi timu hiyo kocha wa zamani na mchezaji wa zamani wa Simba Sc ili aweze kuinusuru timu isishuke daraja.