StoriRashord na Mbappe ndio wachezaji bora Duniani!Mwandishi Wetu1 year agoMshambuliaji wa zamani wa PSG, Fulham na Manchester United Luis Saha amewataja wachezaji wake bora duniani kwasasa akiwataja nyota wawili kutoka Ufaransa na Uingereza.