Kwanza tunashukuru Mungu maandalizi ya pambano letu la hata usipo lala pata kucha yanaendelea vizuri na matarajio yetu ni kuona tunaenda kuijaza Mlimani City
Pambano hilo ambalo limeandaliwa na Kampuni ya Promosheni ya ngumi za kulipwa nchini PAF Promotion Company Limited ambapo mapambano mengine ya utangulizi