Spocha

02:00 Asb: Magoli Mengi Afrika Kombe la Dunia

Sambaza....

Mchezaji wa zamani wa “Black Stars” Ghana, Asamoah Gyan anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye magoli mengi katika fainali za kombe la Dunia kwa upande wa Afrika. Gyan ana mabao sita.

 

 


Sambaza....