Sambaza....

Katika fainali ya Kombe la Dunia mwaka 1950 iliyowakutanisha Brazil na Uruguay inashikilia rekodi ya kutazamwa na watazamaji wengi zaidi katika historia ya kandanda.

Fainali hiyo ilipigwa katika dimba la Maracana, idadi rasmi ya tiketi za watazamaji zilizouzwa ni 173,850 lakini watazamaji walioingia uwanjani kutazama mchezo huo walikua ni takribani 210.

 


Sambaza....