Spocha

Saa 02:00Asb: Mfungaji Bora wa Muda Wote Timu za Taifa Afrika.

Sambaza....

Mchezaji wa zamani wa Zambia “Chipolopolo” Godfrey Chitalu anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu za Mataifa ya Afrika, Godfrey amefunga jumla ya mabao 76.


Sambaza....