Simba SC
Klabu ya Simba yenye makazi yake eneo la Msimbazi Kariakoo
Yanga SC
Mabingwa mara 29 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu yenye makazi yake mitaa ya Jangwani, Dar Young Africans maarufu kama Yanga
Ibrahim Ajib
Amesaini mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu wa 2919/20
Wilker H. da Silva
Mshambuliaji raia wa Brazil, Wilker Henrique da Silva akisaini mkataba wa miaka miwili kuchezea klabu ya Simba Sc.