Wilker H. da Silva

Sambaza....

Mshambuliaji raia wa Brazil, Wilker Henrique da Silva akisaini mkataba wa miaka miwili kuchezea klabu ya Simba Sc. Wilker mwenye umri wa miaka 23 amejiunga akitokea klabu ya Bragantino ya nchini Brazil. 

-Simba Sc

Name
Wilker H. da Silva
Utaifa
braBrazil
Nafasi
Mshambuliaji
Sasa
Simba SC
Ligi
TPL
Misimu
2019-2020

TPL

MsimuTimu
Jumla-

Mshambuliaji raia wa Brazil, Wilker Henrique da Silva akisaini mkataba wa miaka miwili kuchezea klabu ya Simba Sc.


Sambaza....