Mabingwa AfrikaSimba hata wakifungwa wanatakiwa kuwapigia makofi wachezaji.Martin Kiyumbi5 years agoWanatakiwa kufa wakiwa wanatabasamu. Wamefanya kazi ambayo ni kubwa.
Mabingwa AfrikaKikosi cha Simba hiki hapa Chama na Haruna kuanza pamoja kesho!Thomas Mselemu5 years agoHata baada ya mazoezi kuisha wawili hao walionekana wakiwa pamoja kama wanajadili mambo huku wakionekana wenye hamasa.
Mabingwa AfrikaNatamani Lenchantre aje Simba LeoMartin Kiyumbi5 years agoUnatakiwa ujue kucheza ugenini. Hapa ndipo jina la Pierre Lenchantre linapokuja kichwani mwangu.
Mabingwa AfrikaKuiona Simba dhidi ya Tp-Mazembe ni laki moja kama kawa!Thomas Mselemu5 years agoSimba inaenda kukutana Tp Mazembe katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam huku ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kuwafunga Wacongo wenzao AS Vita katika dimba hilohilo la Taifa.
Mabingwa AfrikaYafahamu mataji ya TP-MazembeSekwao Mwendi5 years agoNdio klabu yenye mafanikio makubwa zaidi nchini ikiwa na jumla ya mataji 35.