
Kuelekea robo fainali ya Klabu Bingwa Africa msemaji wa klabu ya Simba Hajji Manara ametaja viingilio vitakavyotumika siku ya mchezo huo utakaopigwa katika dimba la uwanja wa Taifa “Kwa Mkapa”.
Katika mchezo huo kiingilio cha chini kabisa kitakua elfu nne huku cha juu kabisa kitakuna ni laki moja.
Mzunguko 4000
VIP A 20,000
VIP B 10,000
PLATNUM 100,000
Simba inaenda kukutana Tp Mazembe katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam huku ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kuwafunga Wacongo wenzao AS Vita katika dimba hilohilo kwa mabao mawili kwa moja.
Unaweza soma hizi pia..
Simba na Yanga kukutana tena mwezi huu.
Ratiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.
Kombe la FA: Ni fainali ndani ya fainali.
Mchezo wa nusu fainali ni utakua na hadhi, ukubwa na umaarufu kuliko fainali yenyewe kutokana na aina ya wapinzani watakaokutana.
Vigogo wa Afrika wanalakujifunza kwa Simba hii!
Simba licha ya kutolewa katika robo fainali ya klabu bingwa Afrika mara mbili na Shirikisho mara moja lakini bado hakupoteza nyumbani
Yametimia wanakutana tena
Tangu kombe hili lirudi Simba amekua na historia nzuri mbele ya mwenzake, katika michezo mitatu yote Simba ameshinda