Mabingwa AfrikaWababe wa Afrika Hawa Hapa Wanatoka Afrika Kaskazini.Mwandishi Wetu1 year agoSimba itampasa kuchanga vyema karata zake katika mchezo wa kwanza kama kweli wanataka kwenda nusu fainali kwani wataanzia nyumbani mchezo wa kwanza na kumalizia ugenini mchezo wa mwisho.