StoriKaizer Chiefs: Simba ni Kubwa Kuliko Yanga Lakini Hatuwachukulii Poa.Mwandishi Wetu10 months agoSisi ni klabu kubwa nchini Afrika Kusini yenye mashabiki wengi. Ni wazi mashabik wanaifuata klabu popote inapokwenda.