Pamoja na mambo mengine tumepokea mualiko maalum yakuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024 (pre season) nchini Tunisia kwa hisani ya washirika wetu
Yanga si tu walipata ushindi lakini pia walicheza vyema katika dakika zote 90 na kuwadhibiti kabisa Monastir ambao hawakupata hata nafasi yakupiga shuti lililolenga lango.
Mchezo wa mwisho wa kundi hilo Yanga watamalizia ugenini Congo dhidi ya Mazembe hivyo ni vyema leo wakamalizana na Monastir wakiwa nyumbani Kwa Mkapa na kufuzu robo fainali.
Simba si tu hawana alama lakini pia hawajafunga bao lolote mpaka sasa katika michuano hiyo hivyo mchezo wa Vipers unatarajiwa kuwa mgumu na wakufufua matumaini yao yakufuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.