BlogHuyu Hapa Mshambuliaji Azam Aliyesajiliwa Baada ya Kufuzu Majaribio.Mwandishi Wetu11 months agoAlassane Diao alikosa mechi nyingi msimu huu kutokana na kuja Tanzania kufanya majaribio Azam FC kwa takribani mwezi mzima.