Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Nani ana wasiwasi na MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA 🇹🇿 Ni Miongoni mwa wachezaji wa muhimu sana kwenye eneo la kiungo la Yanga (Young Africans) tangu msimu uliomalizika chini ya Mohamed Nabi Eneo la Kiungo la Young Africans linapata ubora wake tangu ajiunge na klabu kuanzia michuano ya ndani mpaka mashindano ya kimataifa! Msimu huu chini ya...
Blog

02:00Asb: Tuzo nyingi za mchezaji bora Afrika.

Mshambuliaji Samwel Etoo wa Cameroon na kiungo Yaya Toure wa Ivory Coast ndio wachezaji waliotwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mara nyingi. Eto'o (2003, 2004, 2005 na 2010) Yaya Toure (2011,2012, 2013 na 2014). 2003: Samuel Eto’o (Real Mallor4ca, Spain and Cameroon) 2004: Samuel Eto’o (Barcelona, Spain and Cameroon) 2005:...
Blog

02:00Asb: Baba wa Taifa wa Magoli Bongo

Mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Bara! John Raphael Bocco anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi kuu ya nchini Tanzania, mpaka sasa Bocco "Adebayor" ana magoli 136 ambayo amefunga katika misimu 14 huku bado akiwa anaendelea kucheza. Bocco...
Blog

02:00Asb: Unaongea lugha ngapi?

Simon Mignolet, kipa wa zamani wa Liverpool anazungumza lugha tano tofauti na ana shahada ya siasa. Jamaa licha ya kulinda goli anagonga Kidachi, Kifaransa, Kinyamwezi(Kiingereza) na Kijerumani. Shahada yake ya Siasa aliipata katika chuo kikuu cha Kikatoliki cha Leuven....
Blog

02:00Asb: Idadi kubwa ya Kadi

Kadi thelathini na sita (36) nyekundu zilitolewa katika mchezo uliowakutanisha Claypole na Victoriano Arenas mwaka 2011. Katika mechi wachezaji wote uwanjani, benchi na walimu wao walilimwa red card baada ya vurugu kuibuka....
Blog

02:00Asb: Hofu wa Mipira ya Juu

Gwiji wa Arsenal, Denis Bergkamp alizikosa mechi za ugenini za Arsenal sababu ya hofu yake ya kupanda ndege, na si mipira ya juu. Hii ndo sababu baadhi ya mashabiki wa Arsenal humuita "Mholanzi asiyepaa". Muholanzi huyo ilimbidi kupanda treni katika mechi za ugenini za Arsenal na sio ndege na wenzake,...
1 2 3 85
Page 1 of 85