10/10 Wachezaji wa Yanga vs Mamelod
Mechi ya pili ya Robo Fainali Klabu Bingwa…
Mechi ya pili ya Robo Fainali Klabu Bingwa…
vilabu vya Kaskazini vikiojekana kutawala katika nafasi za juu kwenye takwimu hizo zilizotoka
Tutasajili lakini kwa mapendekezo ya mwalimu mpya ambaye tutamtangaza karibuni.
hakuwahi kupoteza mchezo hata mmoja wa Ligi lakini kipigo cha mabao matano kutoka kwa Mtani kimemfanya kupoteza kibarua chake
Kuelekea michezo hiyo dhidi ya Niger na Morocco kocha mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche ametaja kikosi kitakachoingia kambini
anaamini wanakwenda katika mchezo mzuri na anajua Afrika mzima inakwenda kutazama kandanda safi na la kuvitia.
Nae kocha mkuu wa Simba Robert Oliveira ambae ameifunga Yanga mara mbili mwaka huu amesema anajua ni mchezo mgumu
Uwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha
Kutokana na idadi hii kubwa ya washindi ambayo haijawahi kutokea ilisababisha ucheleweshaji wa malipo katika tasnia nzima ya michezo ya kubashiri
Hili lilimfanya msemaji wa Simba kutokulinyamazia na kumualika kocha huyo mazoezini pia.