ASFCNi Wananchi na Wagosi fainali!Thomas Mselemu2 years agoVijana wa Juma Mgunda walipaswa wajilaumu wenyewe kama wangepoteza mchezo huo kwani walitengeneza nafasi kibao za wazi
ASFCNusu fainali ya wakubwa itakayoamuliwa kwa historia na mbinu.Tigana Lukinja2 years ago Mchezo huu si mzuri kwa Azam kama wataruhusu waende kwenye mikwaju ya matuta kwa maana wao ndio watakua na presha zaidi.
ASFCNi vita ya historia Arusha.Thomas Mselemu2 years agoNi mchezo utakaowakutanisha wakubwa katika nchi hii, ukiwaondoa Simba na Yanga ni wazi Coastal Union na Azam Fc ni miongoni mwa vilabu vikubwa nchini
Ligi KuuKola na mfupa uliomshinda Mayele!Thomas Mselemu2 years agoLicha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
Ligi KuuAlli Kamwe: Kumbe bila moto wanateseka!Thomas Mselemu2 years ago: Asante Moalin. Asante Pablo Franco, Mechi ilichezwa sana kwenye mbinu kisha ikamalizikia kwenye Ufundi wa wachezaji.
Ligi KuuAzam kujimaliza yenyewe mbele ya Simba!Thomas Mselemu2 years agoMiongoni mwa maeneo yatakayopa ushindi Simba katika mchezo huo ni eneo la kiungo na eneo la mlinda mlango.
Ligi KuuKola tishio jipya kwa Onyango na InongaThomas Mselemu2 years agoHazikupita siku nyingi Mayele akakutana na Simba na kutiwa mfukoni na Mcongo mwenzake Inonga Baka na kupeleka kuzima mtetemo wake
ASFCSimba na Yanga kukutana tena mwezi huu.Thomas Mselemu2 years agoRatiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.
ASFCKombe la FA: Ni fainali ndani ya fainali.Tigana Lukinja2 years agoMchezo wa nusu fainali ni utakua na hadhi, ukubwa na umaarufu kuliko fainali yenyewe kutokana na aina ya wapinzani watakaokutana.
Ligi KuuAzam Fc wakubali yaishe waache wataalam wafanye kazi!Thomas Mselemu2 years agoAzam Fc imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara moja pekee tangu timu hii ipande daraja mwaka 2008,