Japo bado sina hakika kama anauwezo mkubwa katika kuwakabili washambuliaji wenye kasi.
Simba ni klabu kubwa iliyoleta heshima katika nchi hii, nawapongeza wachezaji na viongozi kwa kazi nzuri waliyoifanya.
Kwa huduma zote hizo zinawapa nafasi mamilioni ya mashabiki wa Yanga “Wananchi” kupata huduma bila shida nchi nzima wakiwa na kadi zao za CRDB.
Mwamba akiwa na rekodi mbalimbali za mabao lakini hii moja ndio iliyonivutia zaidi, Zlatan ndie mchezaji aliefunga bao katika kila dakika ya mchezo wa soka akiwa uwanjani
Unawaza pengine Yanga wangechangamka zaidi katika mchezo wakwanza kama ambavyo ilikua jana mambo yangekua tofauti na nchi ingeingia katika historia.
Ni lazima mchezaji bora awe mchezaji aliyefunga mabao mengi? Au ni lazima awe mchezaji aliyehusika na mabao zaidi? Au mchezaji bora anapatikana vipi, vipi kwa upande wa walinzi ama walinda mlango?
Ni kweli katika Ligi kuna viungo wengi wengine wazuri na bora kama kina Aziz Ki, Clatous Chama, James Akamiko, Feisal Salum na Sixtus Sabilo lakino wote hao hawamfikii Saidoo
Simba wakubali ukweli kwamba wametolewa na hawajafikia lengo lao na si kutumia kivuli chakusema wamejitahidi ama wamekufa kiume.
Bado matumaini na macho ya Wanakandanda yanabaki wa washambuliaji wawili kutoka Congo Jean Baleke na Fiston Mayele. Hakika mchezo wa watani upo mikononi mwao kesho.
Yanga wao ni wazi wataingia katika mchezo huo wakiwa kifua mbele kwani hawana presha yoyote kutokana na historia nzuri mbele ya Mnyama waliyonayo hivi karibuni.