BlogKaseja kakataa kuwa Kaseke, akakataa kuwa Singano, akabaki kuwa KasejaAbdul Mkeyenge5 years agoSitaki kutaka maji mengi ya watu. Jikumbushe kuhusu Said Bahanuzi. Nani anajua aliko? Binafsi sijui kama kaacha soka au anafanya kazi gani.