Ligi KuuSaliboko awapa KMC mapumziko.Mwandishi Wetu1 year agoKMC FC itakaporejea mbali na kukutana na Geita Gold Aprili 17 , pia itakuwa na kibarua kingine dhidi ya Dodoma Jiji, Singida Bigi stars, Tanzania Prisons pamoja na Mbeya City