Mbeya City walamba mkataba mnono kutoka Parimatch
IJUMAA Tar 28 August 2020 tumeingia rasmi makubaliano ya mkataba wa udhamini wa Klabu ya Jiji la Mbeya ‘Mbeya City’, ambayo inashiriki michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara katika msimu huu wa 2020/2021.