BlogKama ikishindikana Kampamba, mara 100 arudishwe Kaheza si kumsaini KaperaBaraka Mbolembole5 years agoKapera ameachwa mbali mno na kina Kaheza, Salamba na Rashid na ni heri Simba ingewarudisha kundini Rashid na Kaheza kuliko kumsaini Kapera.
Mabingwa AfrikaKwa beki hii, Nkana FC ndiyo watafuzu kwa goli la ugenini si Simba SC.Baraka Mbolembole5 years agoBeki ya Simba bado ni uchochoro, na wala usiwaze kuhusu 1-0 Dar es Salaam, Nkana watakuja hapo na kufunga tena na si ajabu ni wao wakapita kwa goli la ugenini kwa beki hii ya Simba na golikipa ‘asiyeona kiki za mbali.’