Juma Mgunda kocha wa zamani wa Coastal Union yupo katika nafasi nzuri ya kuivusha Simba na kuipeleka katika hatua ya makundi ya Klabu bingwa Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao matatu kwa moja ugenini.
Vandebroeck kukatwa mwisho wa msimu na nafasi yake akitajwa kuchuliwa na Florentine Ibenge, ishu ni stori mpya ya kocha msaidizi pamoja na meneja wa timu.