Roger Milla akishangilia kwenye kibendera "Roger milla dance"
Spocha

02:00 Asb: Mchezaji Mkongwe Zaidi Kufunga Kombe la Dunia

Sambaza....

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon Roger Milla anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi goli katika michezo ya fainali ya kombe la Dunia. Roger Milla alifanya hivyo akiwa na miaka 38 katika fainali za kombe la Dunia za mwaka 1990.

Miaka minne baadae yaani 1994 alivunja rekodi yake mwenyewe kwa kufunga tena bao akiwa na miaka 42 akiendelea kuwatumikia Simba wasiofugika Cameroon.


Sambaza....