Mataifa Afrika U17Simba sc na Cameroon ngoma droo!Mselemu Kandanda10/04/2019Timu ya Cameroon tayari imewasili nchini iliwa tayari kabisa kushiriki michuano ya Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 inayofanyika Tanzania kwa mara ya kwanza.