Mchezaji wa zamani wa AC Milan na Liberia George Weah ndio mchezaji pekee kutoka Afrika kuwahi kunyakua tuzo ya Ballon d’or. Weah ambae kwasasa ni Rais wa Liberia alitwaa tuzo hiyo mwaka 1995, mpaka sasa hakuna Mwafrika yoyote hata aliyekaribia kutwaa tuzo hiyo kubwa duniani kwa upande wa Kandanda.
Unaweza soma hizi pia..
Saa02Asb: Mabingwa wa Ulaya Mfululizo!
Katika miaka mitano hiyo Madrid walikua moto wa kuotea mbali kiasi kwamba kupelekea kuogopwa sana barani Ulaya
Saa02Asb: Mashabiki Wengi Katika Mchezo Mmoja.
idadi rasmi ya tiketi za watazamaji zilizouzwa ni 173,850 lakini watazamaji walioingia uwanjani
Saa02Asb: Magoli Mengi Katika Mchezo Mmoja!
Mara baada ya mchezo huo timu ya I'Emryne ilifungiwa miaka mitatu na wachezaji wanne walifungiwa kutokucheza soka
Saa02Asb: Bingwa wa Ulaya na Wachezaji Wazawa Pekee
Walishinda ubingwa wa Ulaya kwa kuwafunga Inter Milan mabao mawili kwa moja kwenye Dimba la Estadio Nocional